H ey everyone hii ndio hadithi yetu mpya kabisa ambayo tuna imani mtaipenda kwa sababu ina vitu vingi sana vya kusisimua na kuchangamsha hisia zako.
Inamuhusu kijana Andrea Kijangi,aliyezama kimapenzi na mwanadada aliyekutana naye kwenye ndege.Japo walisalimika kwenye ajali lakini penzi lao halikusalimika hata kidogo mpaka Andrea alitamani hata angekufa kwenye ajali ile. ENDELEA..

No comments:
Post a Comment