Friday, February 1, 2019

   H ey everyone hii ndio hadithi yetu mpya kabisa ambayo tuna imani mtaipenda kwa sababu ina vitu vingi sana vya kusisimua na kuchangamsha hisia zako.
   Inamuhusu kijana Andrea Kijangi,aliyezama kimapenzi na mwanadada aliyekutana naye kwenye ndege.Japo walisalimika kwenye ajali lakini penzi lao halikusalimika hata kidogo mpaka Andrea alitamani hata angekufa kwenye ajali ile. ENDELEA..
Hey! karibuni sana ni blog mpya kabisa ya hadithi na riwaya za kusisimua kwa ajili yako. hapa utaelimika,kuburudika na kujuzwa kila jambo kuhusu Paul Novels na hadithi zetu. karibu usome kila hadithi kwa ajili yako